Nina virusi vya HIV naweza kumeza tembe za kutoa mimba

Ikiwa una virusi vya HIV [1], unaweza kutumia tembe za kutoa mimba. Kama kawaida unapoishi na virusi vya HIV, inapendekezwa uwe katika hali dhabiti na kwenye dawa za kupunguza makali ya virusi

[1] WHO. Safe abortion: technical and policy guidance for health systems. Second edition. 2012. Retrieved from: https://apps.who.int/iris/bitstream/handle/10665/70914/?sequence=1

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.