Je, ungependa kutoa mimba kwa dawa za kutoa mimba?

Kila mwaka, asilimia 40 ya mimba duniani kote huwa haijapangwa. Hii ina maana kwamba kila siku wanawake duniani kote wanakabiliwa na mimba zisizohitajika na kwa sababu mbalimbali huamua kutoa mimba. Wanawake wote, bila kujali rangi, tabaka, dini au wapi wanaoishi ulimwenguni wanastahili chaguo salama.

Tunatoa taarifa sahihi kuhusu kutoa mimba salama.

Je, una maswali yoyote kuhusu hatua za kutoa mimba?

Ikiwa una maswali kuhusu taratibu za utoaji mimba na dawa za utoaji mimba, angalia sehemu yetu ya Maswali yanayoulizwa mara kwa mara. Kama hukupata unachokitafuta au ungependa kuzungumza nasi moja kwa moja, tafadhali wasiliana na mmoja wa washauri wetu wa lugha mbalimbali kwa njia ya ukrasa wa Wasiliana nasi au kisanduku la kuwasiliana moja kwa moja. Tuko hapa kukusaidia.

Habari za hivi punde

HUDUMA SALAMA ZA KUAVYA MIMBA KAMA MOJA WAPO YA HAKI ZA KIJINSIA NA UZAZI
Women protesting for safe abortions,