safe2choose

Njia ya Kunyonya au Kufyanza na Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki – Utoaji mimba wa Kliniki

Utoaji mimba kwa kutumia Njia ya kunyonya au kufyanza au Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki ni aina za utoaji mimba wa kliniki ambazo zinaweza kufanyika kwa mimba zenye hadi wiki 14 za ujauzito (kwa Njia ya Kunyonya ua Kufyonza) na hadi wiki 16 (kwa Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki ). Unaweza kupata taarifa zote unazohitaji kwenye ukurasa huu. Ikiwa bado una maswali, wasiliana na timu yetu ya ushauri.

Shiriki na hifadhi makala kwa ajili ya baadaye.

Ni zipi njia za utoaji mimba kwa kutumia kunyonya au kufyonza?

Gloved hands with syringe, droppers, and two-bottle device on blue-striped background, illustrating vacuum aspiration abortion methods
Turquoise stylized machine with three tubes like tentacles on a white background, symbolizing vacuum aspiration.

Njia za utoaji mimba za kunyonya au kufyonza mara nyingi hujulikana kama utoaji mimba kwa njia ya upasuaji, kunyonya, au utoaji mimba wa kliniki.

Kuna aina mbili za njia za utoaji mimba kwa kutumia vacuum aspiration, ambazo maarufu zaidi ni Njia ya Kunyonya ua Kufyonza, yaani Njia ya kunyonya au kufyonza(kunyonya kwa mkono), na Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki (kunyonya kwa umeme). Tofauti kuu kati ya Njia ya Kunyonya ua Kufyonza na Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki ni kwamba umeme hutumika kuunda nguvu ya kunyonya katika Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki ili kuondoa mimba, na inaweza kufanyika kwa mimba zenye hadi wiki ya 16.

Icon of a light blue heart with a teal medical cross overlapping it on the right side, suggesting themes of healthcare and compassion.

Zote mbili, Njia ya Kunyonya ua Kufyonza na Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki , ni njia salama na zenye ufanisi kwa ajili ya utoaji mimba na usimamizi wa mimba zilizoharibika. Njia za utoaji mimba kwa kunyonya zinapendekezwa na Shirika la Afya Duniani kwa sababu zina hatari ndogo, ni za haraka, na zina ufanisi wa zaidi ya 98–99% zinapofanywa na wahudumu waliobobea. Taratibu hizi huchukua dakika 5 hadi 10 pekee, ambapo wengi hupata maumivu madogo ya tumbo na damu kidogo, huku kupona kabisa kukichukua siku chache tu. Njia ya Kunyonya ua Kufyonza na Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki zina madhara madogo sana na haziharibu uwezo wa kupata mimba tena baadaye. Kwakuwa ni mbinu zilizothibitishwa kitabibu, zote mbili ni chaguo salama na bora kwa utoaji mimba au kushughulikia mimba iliyoharibika iwapo zitatekelezwa na mtaalamu aliyehitimu.

Je, Utoaji Mimba kwa Njia ya kunyonya au kufyonza Unafanyaje Kazi?

Utoaji mimba kwa kunyonya au kufyonza ni taratibu salama ya utoaji mimba inayofanyika kliniki kwa mimba zenye hadi wiki 14. Njia hii hutumia kifaa cha mkono cha kunyonya kutoa ujauzito na huchukua takriban dakika 5–10 kukamilika.

Utoaji mimba kwa Njia ya kunyonya au kufyonza ni njia salama sana ya kutoa mimba kwa ujauzito wa kipindi cha kwanza cha mimba na/au mwanzo wa kipindi cha pili cha ujauzito, hadi wiki 14 za ujauzito. Umri wa juu wa mimba inayoweza kutolewa kwa Njia ya Kunyonya ua Kufyonza mara nyingi hutegemea sera ya kliniki na mtoa huduma ya afya anayefanya kazi hiyo.

Njia ya Kunyonya ua Kufyonza hufanywa na mtoa huduma aliyebobea na hufanyika katika kituo cha afya. Wakati wa utoaji mimba, daktari hutumia vifaa maalum, ikiwa ni pamoja na kifaa cha kimya cha kunyonya, kutoa ujauzito kutoka kwenye mfuko wa mimba. Mara nyingi, taratibu hii hufanyika kwa kutumia ganzi ya sehemu ya mwili wakati mgonjwa akiwa macho, na huchukua kati ya dakika 5 hadi 10.

Inapofanywa katika mazingira salama na na watoa huduma waliobobea, Njia ya Kunyonya ua Kufyonza huwa na ufanisi wa asilimia 98–99 na ina madhara madogo sana, hivyo kuwa chaguo salama na la kuaminika kwa utoaji mimba katika kipindi cha kwanza au mwanzo wa kipindi cha pili cha ujauzito.

Je, utoaji mimba kwa njia ya Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki hufanyikaje?

Utoaji mimba kwa kutumia njia ya Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki ni utaratibu wa utoaji mimba unayofanyika kliniki kwa kutumia mashine ya kunyonya inayotumia umeme. Ni njia salama, ya haraka, na inaweza kutumika kwa mimba zenye umri wa hadi wiki 16.

Utoaji mimba kwa kutumia njia ya Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki ni njia salama na inayofanana sana na utoaji mimba kwa kutumia njia ya kunyonya ua kufyonza. Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki inaweza kutumika kwa ujauzito wenye umri wa hadi wiki 16.

Huduma hii hufanywa na mtoa huduma aliye bobea katika kituo cha afya. Wakati wa taratibu hii, mtoa huduma hutumia vifaa maalum, ikiwemo mashine ya kunyonya kwa umeme, ili kuondoa ujauzito kutoka kwenye mji wa mimba (uterasi).

Kwa kuwa Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki inahitaji umeme kufanya kazi, inaweza isiwepo katika maeneo yote. Watoa huduma wanaweza kuamua kutumia Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki badala ya Njia ya Kunyonya ua Kufyonza kwa sababu taratibu yake huchukua muda mfupi zaidi.

Mashine ya Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki hutoa sauti zaidi kwa sababu hutumia umeme kuunda mvuto wa kunyonya na kuondoa ujauzito.

Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki inajulikana kuwa njia salama na ya kuaminika yenye uwezekano mdogo wa kuleta madhara endapo itafanywa katika mazingira safi na salama na na mtoa huduma aliye bobea. Kiwango chake cha mafanikio hutegemea muktadha maalum, lakini kwa kawaida Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki hufanikisha takriban asilimia 99 ya utoaji mimba inapofanyika kwa usahihi.

Je, Nifanye Nini Kabla ya Kutoa Mimba kwa njia ya kunyonya?

Kabla ya kutoa mimba kwa Njia ya kunyonya au kufyonza au Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki, unapaswa kushauriana na mtoa huduma ya afya, kukagua historia yako ya matibabu, na kufuata maagizo yoyote ya maandalizi, kama vile kutumia dawa za kutuliza maumivu au antibaotiki.

Illustration of a calendar with circled dates, “>14” speech bubble, syringe, and test strips, symbolizing steps before vacuum aspiration abortion.

Ni Nani Anayestahili Kufanyiwa huduma ya Utoaji Mimba kwa Njia ya kunyonya au kufyonza au Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki?

Njia ya kunyonya au kufyonza /Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki inaweza kufanywa kwa watu ambao:

  • wanahitaji utoaji mimba uliochochewa wenye umri wa hadi wiki 14;

  • wanapitia changamoto ya mimba kuharibika au mimba kuto kamilika na wanahitaji kusafishwa mfuko wa uzazi;

  • wamegunduliwa kuwa na mimba ya molekuli (mimba ya nyama inayokua bila mtoto) na wanahitaji kusafishwa mfuko wa uzazi; na

  • wanahitaji kusafishwa mfuko wa uzazi baada ya kupoteza mimba ili kuzuia matatizo.

Who should not have a vacuum aspiration abortion?

Njia zote mbili za Njia ya kunyonya au kufyonza na Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electonikikwa kawaida ni salama na zenye ufanisi zinapofanywa na wataalamu wa afya waliobobea. Hata hivyo, kuna vizingiti na tahadhari fulani zinazopaswa kuzingatiwa ili kuhakikisha usalama.

Nawezaje Kujiandaa kwa Ajili ya Utoaji Mimba kwa Njia ya Njia ya kunyonya au kufyonza au Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki?

Kujiandaa mapema husaidia kuhakikisha huduma nzuri na kupunguza hatari zinazoweza kutokea. Hapa kuna hatua muhimu za kuzingatia kabla ya miadi yako ya Njia ya kunyonya au kufyonza au Upanuaji na ukwanguaji kwa njia ya electoniki.

Illustration of a thoughtful woman with long hair, wearing a floral yellow top and blue pants. She touches her chin, next to a speech bubble with a question mark.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu Njia ya kunyonya au kufyonza

Njia ya kufyonza au kunyonya au njia ya upanuaji na uondoaji (D&E) ni njia salama na zenye ufanisi za utoaji mimba kwa njia ya upasuaji, lakini zinatofautiana hasa kulingana na wakati zinapotumika na jinsi zinavyofanywa, jambo ambalo linaweza kuathiri hali ya jumla ya matumizi.

Wakati: Njia ya kufyonza au kunyonya (ya mikono au ya umeme) kwa kawaida hutumika katika miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito, hadi takriban wiki 14 hadi16 za ujauzito. D&E kwa kawaida hutumiwa katika miezi mitatu ya pili ya ujauzito, kwa kawaida baada ya wiki 14 hadi 16 na hadi takriban wiki 24, kulingana na sheria za eneo na sera za kliniki.

Jinsi inavyofanywa: Njia ya kufyonza au kunyonya hutumia nguvu ya kufyonza polepole ili kutoa mimba kutoka kwenye mfuko wa uzazi. Ni utaratibu wa haraka unaofanywa katika kliniki, mara nyingi kwa kutumia dawa ya kufa ganzi sehemu maalum ya mwili, na hauhitaji upanuaji mkubwa wa mlango wa uzazi. Kwa sababu D&E hutumiwa katika kipindi cha baadaye katika ujauzito, inahusisha hatua za ziada kama vile kupanua mlango wa uzazi kikamilifu zaidi na kuondoa mimba kwa kutumia mchanganyiko wa vifaa vya kunyonya na vya upasuaji (kama vile kibanio) kwa sababu ujauzito umekomaa zaidi.

Muda wa kupona na matumizi: Taratibu zote mbili ni fupi na kwa ujumla zinapona haraka kwa muda mfupi. D&E inaweza kuhitaji maandalizi zaidi ya mlango wa uzazi, kuchukua muda mrefu, na kuhusisha utumiaji wa dawa ya kukufanya ulale wakati wa upasuaji au udhibiti mkali wa maumivu ikilinganishwa na njia ya kufyonza au kunyonya.

Blogs

Latest Posts on Pregnancy Confirmation

Explore our articles for more information about pregnancy confirmation and the gestational age calculator.

Visa halisi toka kwenye jumuiya yetu

Gundua visa vya kweli na uzoefu wa watu ambao wameiamini safe2choose. Ushuhuda huu unaonyesha msaada na mwongozo tunaotoa, na matokeo ya huduma zetu.

Illustration of two women talking: one, a safe2choose counselor, with curly hair in teal floral dress, the other with long black hair in yellow floral dress sharing real stories from the community

Even though I was still very apprehensive, I decided to trust them and share my despair. To my surprise, I was warmly welcomed by the counselors and received all the guidance I needed.

I reached out here because I was desperate and didn’t know who to turn to. I had been searching on Google and found this wonderful team. Even though I was still very apprehensive, I decided to trust them and share my despair. To my surprise, I was warmly welcomed by the counselors and received all the guidance I needed. I was quickly referred to the appropriate place, where I was also treated with great care, and I was able to have my abortion in about a week. It was a very positive experience, with kind support and without judgment.

Anonymous, Brazili

Age: 40, October 2025

I don’t feel ready to have another baby. They inserted a copper IUD incorrectly, and I got pregnant.


I decided to have an abortion because I don’t feel ready to have another baby. They inserted a copper IUD incorrectly, and I got pregnant. My baby was born six months ago, I had postpartum depression, and it’s still hard to feel like I’m doing things right. I don’t think a new baby deserves all the stress from work, a small child, and a complicated relationship. The baby’s father didn’t want the pregnancy either.
After the abortion, I felt very guilty. I’m still sad about what happened because I tried to take care of myself and this still happened. I didn’t know what to do or where to go because abortion is illegal in my country. I found this page, and they helped me a lot and gave me contacts to make this a safe process, especially because I had the IUD and that complicated things.
If you’re in a similar situation, the best thing is to talk about it and cry as much as you need to let the grief out. I don’t think this is easy for anyone, especially if you’re a first-time mom.
Also, it’s better to be well informed about contraceptive methods and their side effects... I learned that you have to visit several doctors to get different opinions and inform yourself better. The copper IUD was inserted at my public health provider very soon after my C-section and didn’t protect me for even six months, and it caused this situation that I will never forget.

Anonymous, Bolivia

Age: 30, October 2025

In a country where choice is denied, discovering support reaffirmed the belief in personal freedom.

It was amazing to know that even in a country where we are told we have no choice, there are people out there that still believe in a persons right to choose what to do with their life. Keep up the great work!

Anonymous, Kostarika

Age: 29, May 2025

Ninawashukuru sana. Hakikisha kuwa watakutunza vyema, haijalishi uko wapi. Uamuzi ni wako, lakini hutatakuwa peke yako.

Hofu ndiyo hisia ya kwanza niliyohisi nilipogundua kuwa nina mimba. Lakini baada ya kuwasiliana na safe2choose, walinifanya nijisikie salama na kuwa na ujasiri kwamba wangeniongoza katika mchakato huu. Mchakato huu ulikuwa wa faragha na rahisi, na washauri walinipa uangalizi niliouhitaji kwa dhati. Ninawashukuru sana. Hakikisha kuwa watakutunza vyema, haijalishi uko wapi. Uamuzi ni wako, lakini hutatakuwa peke yako.

Anonymous, Meksiko

Age: 28, July 2024

0/0

WASILIANA NASI.

Ni Sahihi Kuomba Msaada.

Ikiwa hujapata unachotafuta au unahitaji msaada zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia ukurasa wa ushauri na njia zilizopo. Tunaweza kujibu maswali yako kuhusu ujauzito, chaguzi za utoaji mimba, au huduma baada ya kutoa mimba – wasiliana nasi!

Na timu ya safe2choose pamoja na wataalamu wanaounga mkono kutoka carafem, kwa msingi wa Mwongozo wa Huduma za Kutoa Mimba wa 2022 wa WHO, Mwongozo wa Sasisho za Kliniki za Afya ya Uzazi wa 2023 kutoka Ipas, na Mwongozo wa Sera za Kliniki za Huduma za Kutoa Mimba wa 2024 wa NAF.

safe2choose inaungwa mkono na Bodi ya Ushauri wa Tiba iliyoundwa na wataalamu wakuu katika nyanja ya afya ya ngono na haki za uzazi.

carafem hutoa huduma za kutoa mimba na upangaji uzazi kwa njia rahisi na ya kitaalamu ili watu waweze kudhibiti idadi na muda wa kupata watoto wao.

Ipas ni shirika la kimataifa linalolenga kupanua upatikanaji wa huduma salama za kutoa mimba na uzazi wa mpango.

WHO – Shirika la Afya Ulimwenguni – ni shirika maalum la Umoja wa Mataifa linalohusika na afya ya umma duniani kote.

NAF – Umoja wa Kitaifa wa Kutoa Mimba – ni chama cha kitaalamu nchini Marekani kinachounga mkono huduma salama, zinazotegemea ushahidi za kutoa mimba na haki za uzazi.