safe2choose

Sisi ni Nani: Jifunze Zaidi Kuhusu Safari Yetu na Kusudi Letu

safe2choose ni jukwaa la kidijitali la huduma za afya lililojitolea kuwawezesha watu kwa kuwapatia taarifa sahihi, za siri, na zenye huruma kuhusu huduma ya utoaji mimba. Kupitia huduma zetu za ushauri mtandaoni, tunawaunga mkono wanaotafuta kutoa mimba kwa kutumia tembe au chaguzi za kliniki, na kuwaunganisha na watoa huduma za afya wanaoaminika.

Kama sehemu ya Women First Digital (WFD), tunafanya kazi pamoja na majukwaa kama HowToUseAbortionPill.org na FindMyMethod.org ili kupanua upatikanaji wa taarifa sahihi na zinazotegemea ushahidi kuhusu afya ya uzazi na ngono. Tukiwa tumejitolea kwa haki za uzazi, tunalenga kuvunja vizingiti na kuhakikisha kila mtu anaweza kufanya maamuzi salama na yaliyo na taarifa sahihi.

Illustration of a healthcare professional in a pink sweater and glasses handing medication to a woman in a yellow floral top in an office setting

Mshirika Wako Katika Afya Ya Uzazi Na Uwezeshaji

safe2choose ilianzishwa mwaka 2015 ikiwa na dhamira ya kuendeleza haki za afya ya uzazi na ngono duniani kote kupitia ulimwengu wa kidijitali. Dira yetu ilianza kwa kuwawezesha watu binafsi na kuwapatia taarifa sahihi, zinazopatikana kwa urahisi, na msaada kuhusu huduma kamili za utoaji mimba.

Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, tumekua kuwa chanzo cha kuaminika duniani, tukiwafikia mamilioni ya watu wanaotafuta huduma za utoaji mimba na kuvunja vizingiti vya upatikanaji wa huduma salama. Zaidi ya watu milioni 18 wameitembelea tovuti yetu kutafuta msaada, na timu yetu ya washauri imewaongoza zaidi ya watu 300,000 katika safari yao ya utoaji mimba kwa miaka 10 iliyopita, kuhakikisha wanapata maarifa, huduma, na uhuru wanaostahili.

safe2choose itaendelea kutoa taarifa na nyenzo muhimu ili kila mtu aweze kufanya maamuzi yenye taarifa kuhusu afya yao ya uzazi na ngono.

Three diverse women connected around a globe; one holds a phone, another wears a lab coat holding a tablet, and the third holds a beaker, symbolizing global collaboration.

Timu Yetu ya Washauri wa Utoaji Mimba Salama Wanaozungumza Lugha Mbalimbali

Timu yetu inajumuisha washauri wanaozungumza lugha mbalimbali, madaktari wa tiba, na wataalamu wa afya ya umma na maendeleo ya kimataifa ambao hufanya kazi kwa pamoja kutoa taarifa sahihi kuhusu utoaji mimba salama. Tunasaidia watu kufanya maamuzi yao wenyewe kuhusu miili yao na afya ya uzazi.

Timu ya Ushauri na Mratibu wa Rufaa

Emma - Meneja Ushauri
Counseling Team

Emma - Meneja Ushauri

Bonnie - Mratibu wa Jukwaa na mshauri wa Kihindi-Kiingereza
Counseling Team

Bonnie - Mratibu wa Jukwaa na mshauri wa Kihindi-Kiingereza

Zoe - Mshauri wa Kiswahili na Kiingereza
Counseling Team

Zoe - Mshauri wa Kiswahili na Kiingereza

Hellena – Mshauri wa Kiganda na Kiingereza
Counseling Team

Hellena – Mshauri wa Kiganda na Kiingereza

Wendy - Mshauri wa Kifaransa na Kiingereza
Counseling Team

Wendy - Mshauri wa Kifaransa na Kiingereza

Lucy - Mshauri wa Kihispania na Kiingereza
Counseling Team

Lucy - Mshauri wa Kihispania na Kiingereza

Teresa - Mshauri wa Kihispania na Kiingereza
Counseling Team

Teresa - Mshauri wa Kihispania na Kiingereza

Anna - Mshauri wa Kihispania na Kireno
Counseling Team

Anna - Mshauri wa Kihispania na Kireno

Rosa – Mratibu wa Rufaa
Referral coordinator

Rosa – Mratibu wa Rufaa

Other Departments

Idara Nyingine

Florencia - safe2choose Meneja wa Programu

Usaidizi wa kiufundi na kiutendaji

Jai - Msanidi wa Tovuti

Masoko ya Kidijitali na Ubunifu

Michell – Meneja Mwandamizi wa Masoko ya Kidijitali na Ubunifu-

Catherine – Meneja wa Mawasiliano-

Vianey – Afisa Mawasiliano-

Bere – Mbunifu wa Muonekano wa Mtandao (UI) na Tovuti-

Varenka – Mbunifu wa Michoro-

Luisina – Mbunifu wa Uhuishaji-

Isabella – Meneja Msaidizi wa Jamii-

Nada – Mtaalamu wa Ubunifu na Mwelekeo wa SEO (GEO/AEO)-

Swati – Mtaalamu wa SEO ya Kiufundi-

Deuson – Mtaalamu wa SEO ya QA-

Msaada wa Matibabu

safe2choose ina daktari wa ndani anayesaidia timu ya ushauri na kutoa mafunzo ya mara kwa mara kuhusu ushahidi wa kisayansi wa hivi punde na maendeleo ya matibabu. Zaidi ya hayo, safe2choose inaongozwa na Bodi ya Ushauri wa Matibabu inayojumuisha wataalamu wakuu wa afya ya uzazi na haki za uzazi, kuhakikisha viwango vya juu vya huduma na taarifa sahihi, za kisasa.

Tunachotoa na Kusimamia

Tuko hapa kukusaidia kwa huruma, upendo, na kujitolea. Jifunze jinsi malengo yetu, huduma, na maadili vinavyoshirikiana kuleta mabadiliko yenye maana katika safari yako.

Our mission

Kuwaunganisha watu wa dunia nzima na taarifa sahihi na mahsusi kuhusu vidonge vya kutoa mimba kwa njia salama, ili waweze kupata huduma ya utoaji mimba kwa usalama mahali, wakati, na wakiwa na mtu wanayemwamini zaidi.

safe2choose Ufikiaji na Athari Ulimwenguni Tangu Kuanza

Light blue image with the number 10 beneath an arch of five stars, symbolizing 10 years of empowering people with reproductive health information.

Miaka 10 ya huduma

tukiwapa watu uwezo kupitia taarifa sahihi na huduma bora za afya ya uzazi.

Globe over a webpage icon with cursor, showing 18.6 million visits from 190+ countries seeking trusted reproductive health information.

Watembeleaji wa tovuti milioni 18.6

kutoka mahali kote duniani wakitafuta taarifa za kuaminika –

watembeleaji18,636,956 katika nchi zaidi ya 190.

Icon of two open hands holding three blue human figures in circles, symbolizing over 320,000 users supported with personalized abortion counseling worldwide.

Zaidi ya watumiaji 320,000

katika nchi na maeneo zaidi ya 100 wamepatiwa msaada kwenye safari zao za utoaji mimba kupitia ushauri binafsi.

Abstract network diagram with five blue person icons connected by lines, symbolizing over 70,000 users linked to trusted healthcare providers and organizations.

Zaidi ya watumiaji 70,000 wameunganishwa

na mtandao wetu wa marejeo unaojumuisha watoa huduma za afya na mashirika yanayoaminika.

Icon showing a user silhouette connected by an arrow to a heart with a cross, symbolizing 1,000 referral partners in the Global Referral Network.

Washirika 1,000 wa rufaa

katika Mtandao wetu wa Kimataifa wa Rufaa unaokua.

Simple illustration of a globe with two orbits, each with a small blue dot, representing global reach in Latin America, North America, Africa, and Asia.

Ufikiaji wa kimataifa

na uwepo mkubwa katika Amerika ya Kusini, Amerika Kaskazini, Afrika na Asia.

Tusaidie kufikia watu wengi zaidi, mchango wako ni muhimu.

Visa halisi toka kwenye jumuiya yetu

Gundua visa vya kweli na uzoefu wa watu ambao wameiamini safe2choose. Ushuhuda huu unaonyesha msaada na mwongozo tunaotoa, na matokeo ya huduma zetu.

Illustration of two women talking: one, a safe2choose counselor, with curly hair in teal floral dress, the other with long black hair in yellow floral dress sharing real stories from the community

Even though I was still very apprehensive, I decided to trust them and share my despair. To my surprise, I was warmly welcomed by the counselors and received all the guidance I needed.

I reached out here because I was desperate and didn’t know who to turn to. I had been searching on Google and found this wonderful team. Even though I was still very apprehensive, I decided to trust them and share my despair. To my surprise, I was warmly welcomed by the counselors and received all the guidance I needed. I was quickly referred to the appropriate place, where I was also treated with great care, and I was able to have my abortion in about a week. It was a very positive experience, with kind support and without judgment.

Anonymous, Brazili

Age: 40, October 2025

I don’t feel ready to have another baby. They inserted a copper IUD incorrectly, and I got pregnant.


I decided to have an abortion because I don’t feel ready to have another baby. They inserted a copper IUD incorrectly, and I got pregnant. My baby was born six months ago, I had postpartum depression, and it’s still hard to feel like I’m doing things right. I don’t think a new baby deserves all the stress from work, a small child, and a complicated relationship. The baby’s father didn’t want the pregnancy either.
After the abortion, I felt very guilty. I’m still sad about what happened because I tried to take care of myself and this still happened. I didn’t know what to do or where to go because abortion is illegal in my country. I found this page, and they helped me a lot and gave me contacts to make this a safe process, especially because I had the IUD and that complicated things.
If you’re in a similar situation, the best thing is to talk about it and cry as much as you need to let the grief out. I don’t think this is easy for anyone, especially if you’re a first-time mom.
Also, it’s better to be well informed about contraceptive methods and their side effects... I learned that you have to visit several doctors to get different opinions and inform yourself better. The copper IUD was inserted at my public health provider very soon after my C-section and didn’t protect me for even six months, and it caused this situation that I will never forget.

Anonymous, Bolivia

Age: 30, October 2025

In a country where choice is denied, discovering support reaffirmed the belief in personal freedom.

It was amazing to know that even in a country where we are told we have no choice, there are people out there that still believe in a persons right to choose what to do with their life. Keep up the great work!

Anonymous, Kostarika

Age: 29, May 2025

Ninawashukuru sana. Hakikisha kuwa watakutunza vyema, haijalishi uko wapi. Uamuzi ni wako, lakini hutatakuwa peke yako.

Hofu ndiyo hisia ya kwanza niliyohisi nilipogundua kuwa nina mimba. Lakini baada ya kuwasiliana na safe2choose, walinifanya nijisikie salama na kuwa na ujasiri kwamba wangeniongoza katika mchakato huu. Mchakato huu ulikuwa wa faragha na rahisi, na washauri walinipa uangalizi niliouhitaji kwa dhati. Ninawashukuru sana. Hakikisha kuwa watakutunza vyema, haijalishi uko wapi. Uamuzi ni wako, lakini hutatakuwa peke yako.

Anonymous, Meksiko

Age: 28, July 2024

0/0

MSAADA WA USHAURI WA UTOAJI MIMBA SALAMA

Ni sahihi kuomba msaada.for Support

Tunatoa taarifa zenye ushahidi kuhusiana na utoaji mimba salama. Huduma yetu ya bure ya ushauri ni salama, ya siri, rahisi na haina unyanyapaa. Tunangoja ututumie ujumbe wako.