Kujikita katika kipindi changu cha hedhi niko na uja uzito wa chini ya wiki 6 Ni lazima ningoje ili kutumia tembe za kutoa mimba? Unaweza kutumia Mifepristone na Misoprostol kwa njia salama hata kama uja uzito wako ni chini ya wiki 6 [1]. Tilia maanani kuwa kama ni mapema sana itakuwa vigumu zaidi kukadiria kama au la dalili zako za kutokwa damu na msokoto ziko sambamba na ufanisi katika utoaji mimba.

Kujikita katika kipindi changu cha hedhi niko na uja uzito wa chini ya wiki 6 Ni lazima ningoje ili kutumia tembe za kutoa mimba?
Unaweza kutumia Mifepristone na Misoprostol kwa njia salama hata kama uja uzito wako ni chini ya wiki 6 [1]. Tilia maanani kuwa kama ni mapema sana itakuwa vigumu zaidi kukadiria kama au la dalili zako za kutokwa damu na msokoto ziko sambamba na ufanisi katika utoaji mimba.

[1] Nathalie Kapp, Maureen K. Baldwin and Maria Isabel Rodriguez. Efficacy of medical abortion prior to 6 gestational weeks: a systematic review. Contraception, 2018-02-01, Volume 97, Issue 2, Pages 90-99. Retrieved from: https://www.clinicalkey.com/#!/content/playContent/1-s2.0-S0010782417304389?returnurl=https:%2F%2Flinkinghub.elsevier.com%2Fretrieve%2Fpii%2FS0010782417304389%3Fshowall%3Dtrue&referrer=https:%2F%2Fwww.ncbi.nlm.nih.gov%2F

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.