Kuna kizuizi cha uzani katika kutumia tembe ya kutoa mimba?

Hakuna kuzuizi cha uzani [1] ili kutumia tembe za kutoa mimba. Ikiwa una uzani unaozidi inapendekezwa kuwa utumie utaratibu sawa, dawa zaidi si muhimu.

[1] WHO. Frequently asked clinical questions about medical abortion. Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/media/inline/2012/6/5/who_medical_abortion.pdf

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.