Nilifanyiwa upasuaji kwenye tumbo la uzazi miezi sita iliyopita, naweza bado kutumia tembe za kutoa mimba?

Ndio Upasuaji awali kwenye tumbo la uzazi si dalili kinzani ya kutumia tembe za kutoa mimba.

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.