Naweza kutoa mimba kwa tembe ikiwa nilijifungua kwa upasuaji awali
Bado ni sawa kutumia tembe za kutoa mimba kama ulijifungua kwa upasuaji awali [1]
[1] WHO. Frequently asked clinical questions about medical abortion. Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/media/inline/2012/6/5/who_medical_abortion.pdf
Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs
- Nawezaje kujifunza kuhusu sheria za kutoa mimba katika nchi yangu?
 - Najua mtu anayehitaji kutoa mimba, nawezaje kuwa wa usaidizi kwake?
 - Tembe za kutoa mimba zinaweza kusababisha kasoro za kuzaliwa kwa mtoto nitakayempata siku za usoni?
 - Kumeza tembe za kutoa mimba inaweza kuifanya kuwa vigumu kupata mimba siku za usoni?
 - Wahudumu wa afya wanaweza kujua kuwa ninatoa mimba?
 - Ikiwa nitagundua kuwa nina uja uzito wa mapacha? Naweza bado kutoa mimba kwa tembe?
 - Niligunduliwa kupoteza mimba Naweza kutumia tembe za kutoa mimba?
 - Niko na mimba ya zaidi ya wiki 20 Naweza kutumia tembe kutoa mimba?
 - Kujikita katika kipindi changu cha hedhi niko na uja uzito wa chini ya wiki 6 Ni lazima ningoje ili kutumia tembe za kutoa mimba?
 - Nilifanyiwa upasuaji kwenye tumbo la uzazi miezi sita iliyopita, naweza bado kutumia tembe za kutoa mimba?
 - Naweza kumeza tembe ya kutoa mimba ikiwa nimegunduliwa kuwa na STD au ambukizi katika mkondo wa uzazi?
 - Naweza kutoa mimba kwa tembe ikiwa nilijifungua kwa upasuaji awali
 - Nimegunduliwa kuwa na uja uzito nje ya tumbo la uzazi, naweza kutumia tembe za kutoa mimba?
 - Nina IUD, naweza kutumia tembe za kutoa mimba?
 - Nina anemia, naweza kumeza tembe za kutoa mimba?
 - Nina virusi vya HIV naweza kumeza tembe za kutoa mimba
 - Nina aina ya damu ya Rh hasi. Je! Ni shida kutoa mimba kwa kutumia tembe?
 - Kuna kizuizi cha uzani katika kutumia tembe ya kutoa mimba?
 - Kuna kikwazo cha umri katika kutumia tembe za kuavya mimba?
 - Ni yapi madhara ya kando ya kumeza dawa za kutoa mimba?
 - Naweza kunyonyesha ninapotumia tembe za kutoa mimba?
 - Ni nini hutokea ikiwa nitatumia tembe za kutoa mimba na mimi si mja mzito?
 
*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.