Niko na mimba ya zaidi ya wiki 20 Naweza kutumia tembe kutoa mimba?

Ikiwa uko na mimba ya zaidi ya wiki 20 usiyohitaji, haipendekezwi utumie tembe za kutoa mimba nyumbani, kwa sababu kuna ushahidi mdogo kuhusiana na usalama wa hii na inaweza kuwa hatari Ikiwa unahitaji ushauri au usaidizi kuhusu maamuzi kuhusu uja uzito wako katika wakati huu, ni bora kuwasiliana na mmoja wa washauri wetu.

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.