Najua mtu anayehitaji kutoa mimba, nawezaje kuwa wa usaidizi kwake?

safe2choose inatoa habari nyingi kuhusiana na kutoa mimba, na pia matini nyingine zinazoweza kuwa na manufaa kwa mtu anayependelea kutoa mimba. Hakikisha kuwa unasaidia na usiwe unahukumu. [1]

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.