Ni nini hutokea ikiwa nitatumia tembe za kutoa mimba na mimi si mja mzito?

Haipendekezwi utumie tembe za kutoa mimba ikiwa wewe si mja mzito, lakini hii ikitokea unaweza kuwa na msokoto na madhara ya dawa yasiyodumu. Inashauriwa kufanya jaribio la kubaini uja uzito kabla ya kutumia tembe, kwa sababu vinginevyo itakuwa ngumu kubaini kama hukuwa na uja uzito, au kimsingi tembe hazikufanya kazi.

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.