Ni yapi madhara ya kando ya kumeza dawa za kutoa mimba?

Madhara ya kawaida ya kutumia tembe za Misoprostol na Mifepristone kutoa mimba [1] ni maumivu (msokoto katika tumbo la uzazi) na kutokwa damu katika uuke, ingawa hizi ni dalili zilizokusudiwa katika matumizi ya dawa. Madhara mengine [2] yanayoweza kutokea yanajumuisha: joto, kibaridi, kichechefu, kutapika na kuhara.

[1] Planned Parenthood. What can I expect after I take the abortion pill? Retrieved from: https://www.plannedparenthood.org/learn/abortion/the-abortion-pill/what-can-i-expect-after-i-take-the-abortion-pill

[2] Gynuity. Providing medical abortion in low-resource settings An Introductory Guidebook. Second Edition. 2009. Retrieved from: https://gynuity.org/assets/resources/clinguide_maguide2nd_edition_en.pdf

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.