Naweza kumeza tembe ya kutoa mimba ikiwa nimegunduliwa kuwa na STD au ambukizi katika mkondo wa uzazi?

Haipendekezwi utumie tembe za kutoa mimba ikiwa una ugonjwa wa zinaa au ambukizi kwa sasa [1]. Inashauriwa utafute matibabu kwa ambukizi lolote liwezekanalo kabla ya kuendelea na tembe za kutoa mimba.

[1] Gynuity. Providing medical abortion in low-resource settings An Introductory Guidebook. Second Edition. 2009. Retrieved from: https://gynuity.org/assets/resources/clinguide_maguide2nd_edition_en.pdf

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.