Wahudumu wa afya wanaweza kujua kuwa ninatoa mimba?

Baada ya kutumia tembe za kutoa mimba chini ya ulimi ama kwenye mashavu, mtu yeyote hawezi kujua tofauti kati ya kupoteza mimba na kutoa mimba, kwa sababu dalili zinafanana.

Hatupendekezi kutumia Misoprostol mara kwa mara kwenye uke, hii ni kwa sababu ikiwa unahitaji kutafuta matibabu wahudumu wa afya wataweza kuona mabaki ya vidonge na wajue kuwa umetumia dawa za kutoa mimba

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.