Kumeza tembe za kutoa mimba inaweza kuifanya kuwa vigumu kupata mimba siku za usoni?

Tembe za Mifepristone na Misoprostol hutumika kwa kutoa mimba na hazina athari yoyote kwa uwezo wa mwanamke kupata mimba [1]. Tembe zote za kutoa mimba (Mifepristone na Misoprostol) hutolewa haraka mwilini, hivyo hazina athari yoyote kwa uwezo wa mtu kuwa na uja uzito siku za usoni. Rutuba unaweza kurudi siku saba hadi kumi baada ya kutumia tembe za kutoba mimba.

[1] Gynuity. Providing medical abortion in low-resource settings An Introductory Guidebook. Second Edition. 2009. Retrieved from: https://gynuity.org/assets/resources/clinguide_maguide2nd_edition_en.pdf

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.