Ikiwa nitagundua kuwa nina uja uzito wa mapacha? Naweza bado kutoa mimba kwa tembe?

Hauhitaji kubadili kipimo au idadi ya tembe ikiwa utagundua una uja uzito wa mapacha [1]. Utaratibu wa tembe sawa ndio unatumika kwa uja uzito wa mapacha.

[1] Hayes JL, Achilles SL, Creinin MD, Reeves MF. Outcomes of medical abortion through 63 days in women with twin gestations. Contraception. 2011;84(5):505–507. doi:10.1016/j.contraception.2011.02.015. Retrieved from: https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC3979718/

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.