Nina IUD, naweza kutumia tembe za kutoa mimba?

IUD haikinzani unapotumia tembe[1] za kutoa mimba, lakini huhitaji umakinifu kiasi. Mimba inayotokea ukiwa na IUD inaongeza hatari kuwa ni uja uzito ulio nje ya tumbo la uzazi (uja uzito ulio nje tumbo la uzazi) Inapowezekana, pendekezo salama ni kutolewa IUD kabla ya kutumia tembe za kutoa mimba.

[1] Ipas. (2019). Clinical Updates in Reproductive Health. L. Castleman & N. Kapp (Eds.). Chapel Hill, NC: Ipas. Retrieved from: https://www.ipas.org/wp-content/uploads/2023/09/Ipas-Clinical-Updates-in-Reproductive-Health-CURHE23b.pdf

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.