Nimegunduliwa kuwa na uja uzito nje ya tumbo la uzazi, naweza kutumia tembe za kutoa mimba?

Ikiwa umegunduliwa kuwa na uja uzito nje ya tumbo la uzazi [1], inashauriwa utafute matibabu kwa ulinzi zaid. Tembe za kutoa mimba haziwezi kutatua uja uzito ulio nje ya tumbo la uzazi, na ukuaji wa uja uzito nje ya tumbo la uzazi ni hatari.


Sources

[1] Gynuity. Providing medical abortion in low-resource settings An Introductory Guidebook. Second Edition. 2009. Retrieved from: https://gynuity.org/assets/resources/clinguide_maguide2nd_edition_en.pdf

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu