Kujikita katika kipindi changu cha hedhi niko na uja uzito wa chini ya wiki 6 Ni lazima ningoje ili kutumia tembe za kutoa mimba?

Unaweza kutumia Mifepristone na Misoprostol kwa njia salama hata kama uja uzito wako ni chini ya wiki 6 [1]. Tilia maanani kuwa kama ni mapema sana itakuwa vigumu zaidi kukadiria kama au la dalili zako za kutokwa damu na msokoto ziko sambamba na ufanisi katika utoaji mimba.


Sources

[1] Nathalie Kapp, Maureen K. Baldwin and Maria Isabel Rodriguez. Efficacy of medical abortion prior to 6 gestational weeks: a systematic review. Contraception, 2018-02-01, Volume 97, Issue 2, Pages 90-99. Retrieved from: https://www.clinicalkey.com/#!/content/playContent/1-s2.0-S0010782417304389?returnurl=https:%2F%2Flinkinghub.elsevier.com%2Fretrieve%2Fpii%2FS0010782417304389%3Fshowall%3Dtrue&referrer=https:%2F%2Fwww.ncbi.nlm.nih.gov%2F

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu