Kuna kikwazo cha umri katika kutumia tembe za kutoa mimba? safe2choose

Tembe za utoaji mimba ni salama kutumiwa na wanawake wa umri wowote.

Hakuna kikwazo cha umri wa juu au umri wa chini [1] ili kutumia tembe za utoaji mimba.

Kiwango kilichopendekezwa cha tembe za utoaji wa mimba hakibadiliki kulingana na umri wako. Angalia itifaki zetu hapa: Mifepristone and Misoprostol na Misoprostol pekee.

[1] WHO. Frequently asked clinical questions about medical abortion. Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/media/inline/2012/6/5/who_medical_abortion.pdf

Kabla ya kumeza tembe ya kutoa mimba FAQs

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.