Naweza kutoa mimba kwa tembe ikiwa nilijifungua kwa upasuaji awali

Bado ni sawa kutumia tembe za kutoa mimba kama ulijifungua kwa upasuaji awali [1]


Sources

[1] WHO. Frequently asked clinical questions about medical abortion. Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/media/inline/2012/6/5/who_medical_abortion.pdf

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu