Kuna tofauti gani kati ya utoaji mimba kwa utabibu na upasuaji

Utoaji mimba kwa utabibu [1] unaotumika sana hujulikana kama utoaji mimba kwa kutumia tembe, na ni utaratibu wa utabibu unaosababisha msokoto na kutokwa damu ambayo baadaye hutamatisha uja uzito. Inaweza kufanywa nyumbani bila ya uangalifu wa kiafya (utoaji mimba chini ya ungalifu wa mtu binafsi) chini ya wiki 11 za uja uzito.

Utoaji mimba kwa upasuaji [2] ni utaratibu unaotekelezwa na mtaalamu aliye na mafunzo ambapo vitu vilivyopo katika tumbo la uzazi hutolewa, hivyo kutamatisha uja uzito.


Sources

[1] Bpas. The abortion pill.Retrieved from: https://www.bpas.org/abortion-care/abortion-treatments/the-abortion-pill/

[2] Bpas. Surgical abortion.Retrieved from: https://www.bpas.org/abortion-care/abortion-treatments/surgical-abortion/

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu