Kuna tofauti gani kati ya utoaji mimba kwa utabibu na upasuaji

Utoaji mimba kwa utabibu [1] unaotumika sana hujulikana kama utoaji mimba kwa kutumia tembe, na ni utaratibu wa utabibu unaosababisha msokoto na kutokwa damu ambayo baadaye hutamatisha uja uzito. Inaweza kufanywa nyumbani bila ya uangalifu wa kiafya (utoaji mimba chini ya ungalifu wa mtu binafsi) chini ya wiki 13 za uja uzito.

Utoaji mimba kwa upasuaji [2] ni utaratibu unaotekelezwa na mtaalamu aliye na mafunzo ambapo vitu vilivyopo katika tumbo la uzazi hutolewa, hivyo kutamatisha uja uzito.

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.