Kuna aina mbili kuu za utoaji mimba

Kuna aina mbili za utoaji mimba [1]: Utoaji mimba kwa kutumia tembe na utaratibu wa upasuaji. Zote hufanya kazi na salama zinapotekelezwa vyema Wanawake wanaweza kuchagua mbinu moja badala ya nyingine kwa sababu za kibinafsi au za usalama, au anaweza kuwa na njia moja anayoipendelea.

[1] Bpas. Abortion treatments. Retrieved from: https://www.bpas.org/abortion-care/abortion-treatments/

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.