Ikiwa sina hakika ya kutoa mimba, ni njia zipi mbadala zilizopo mbele yangu?

Wanawake wanaokabili mimba zisizohitajika wanastahili kujua kuwa kuna njia tatu [1] wanazoweza kutumia: 1) Kuendelea na mimba wawe mama, 2) kuendelea na mimba wakiwa na mpango wa kupitisha mtoto, 3) au kutoa mimba. Ni muhimu kufanya uamuzi kwa kuzingatia unachohisi ni bora kwako.

[1] Planned Parenthood. Pregnancy Options. Retrieved from: https://www.plannedparenthood.org/learn/pregnancy/pregnancy-options

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.