Ni njia zipi ambazo si salama za utoaji mimba?
Njia zisizo salama za utoaji mimba [1] ni njia zozote ambazo hazijumuishi matumizi ya tembe pamoja na maelezo yanayojikita kwa ushahidi, au utoaji wa utaratibu wa utoaji mimba kwa upasuaji na mtaalamu asiye na mafunzo ya utoaji mimba.
[1] WHO. Preventing unsafe abortion. 2019. Retrieved from: https://www.who.int/news-room/fact-sheets/detail/preventing-unsafe-abortion
Ukweli kuhusu Utoaji mimba
- Unaweza kutumia tembe za kutoa mimba ili kuzuia kama mbinu ya kupanga uzazi
- Kuna tofauti gani kati ya tembe ya asubuhi baadaye na tembe ya kutoa mimba?
- Ikiwa sina hakika ya kutoa mimba, ni njia zipi mbadala zilizopo mbele yangu?
- Kuna aina mbili kuu za utoaji mimba
- Mbona wanawake wanachagua kutoa mimba?
- Ni njia zipi ambazo si salama za utoaji mimba?
- Kuna tofauti gani kati ya Misoprostol na Mifepristone?
- Tembe za kutoa mimba ni nini? Zina nini?
- Kuna tofauti gani kati ya utoaji mimba kwa utabibu na upasuaji
- Kuna tofauti gani kati ya Kuharibika kwa mimba na utoaji mimba?
- Je utoaji mimba ni hatari?
- Ni hatari zipi na tata ambazo huhusishwa na tembe za kutoa mimba?
- Nitahitaji maelezo ya daktari ili kununua tembe za kutoa mimba?
- Mbona tovuti zingine zina taarifa tofauti kuhusu tembe za kutoa mimba?
*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.