Mbona wanawake wanachagua kutoa mimba?

Kukabili mimba isiyopangiwa inaweza kuwa hali ya kuzua mafikira Kwa kawaida watu hujamiiana kufurahia na kujiridhisha, bila kusudi la kuwa na uja uzito. Mimba inayoendelea huwa jukumu la kimaisha, na mwanamke anaweza kuamua kuwa na uja uzito si njia bora kwake na atatafuta kutoa mimba. Kwa kweli, ni kawaida kuwa mwanamke anaweza kuchagua kuavya mimba mara zaidi ya moja katika maisha yake. Mwanamke anaweza kuchagua kutoa mimba kwa sababu tofauti [1], lakini kwa kina lazima afanye uamuzi uliobora kwake.

[1] Guttmacher. Reasons U.S. Women Have Abortions: Quantitative and Qualitative Perspectives. 2005. Retrieved from: https://www.guttmacher.org/journals/psrh/2005/reasons-us-women-have-abortions-quantitative-and-qualitative-perspectives

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.