Ni hatari zipi na tata ambazo huhusishwa na tembe za kutoa mimba?

Ni hatari zipi na tata ambazo huhusishwa na tembe za kutoa mimba?
Chini ya 1% ya wanawake wanaotumia tembe za kutoa mimba huwa na utata [1]. Utata wa kawaida unaohusishwa na tembe za kutoa mimba ni kuvuja damu (kutokwa damu zaidi) au ambukizi [2]. Tata hizi zinaweza kutibiwa katika vituo vingi vya afya ikiwa utatafuta matibabu kwa wakati unaofaa.

Unaweza kujua zaidi kuhusu dalili za awali zinazoweza kuonyesha utata unaoweza kutokea katika utoaji mimba wa utabibu.

[1] Ipas. (2019). Clinical Updates in Reproductive Health. L. Castleman & N. Kapp (Eds.). Chapel Hill, NC: Ipas. Retrieved from: https://ipas.azureedge.net/files/CURHE19-april-ClinicalUpdatesInReproductiveHealth.pdf

[2] Planned Parenthood. How safe is the abortion pill? Retrieved from: https://www.plannedparenthood.org/learn/abortion/the-abortion-pill/how-safe-is-the-abortion-pill

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.