Nitahitaji maelezo ya daktari ili kununua tembe za kutoa mimba?

Ikiwa unataka kununua dawa katika duka la dawa katika eneo lako unaweza kuhitaji au kutohitaji maelezo ya daktari. Hii itategemea na sheria unapoishi. Kwa bahati mbaya safe2choose haiwezi kukupa maelezo ili ununue tembe za kutoa mimba popote.

Ingawa ni vigumu zaidi kupata Mifepristone kwa sababu ndiyo hutumika sana kutamatisha mimba, Misoprostol ni utabibu unaotumika pia kutibu tata za utumbo.Hivyo basi, nchi nyingi zina misoprostol iliyosajiliwa kama dawa halali [1].

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu hali ya kisheria ya utoaji mimba katika nchi yako, tembelea www.howtouseabortionpill.org/regions/

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.