Kuna tofauti gani kati ya Kuharibika kwa mimba na utoaji mimba?

Kuharibika kwa mimba ni njia asili au ya ghafla ya kutamatika kwa uja uzito, kumaanisha mwili unatoa uja uzito kwa njia yake bila msaada wa dawa au utaratibu wa upasuaji. Utoaji mimba ni kutamatisha kwa hiari mimba isiyohitajika [1], aidha kupitia utabibu au utaratibu wa upasuaji.
Hayo yakishasemwa, dalili za kupoteza mimba na dalili za kutoa mimba kwa kutumia tembe ni sawa.

[1] National Women’s Health Network. Health Facts: Abortion with Pills and Spontaneous Miscarriage. Retrieved from: https://nwhn.org/abortion-pills-vs-miscarriage-demystifying-experience/

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.