Tembe za kutoa mimba ni nini? Zina nini?

Kuna tembe mbili ambazo hutumika sana kwa utoaji mimba [1], Mifepristone na Misoprostol. Mifepristone huzuia homoni ya uja uzito inayohitajika kwa ukuaji wa mimba, na Misoprostol husaidia mlango wa uzazi kutulia na tumbo la uzazi kijikunja ili kutoa uja uzito

Ni muhimu kujua kuwa tembe za kutoa mimba ni tofauti na tembe ya asubuhi baadaye au dawa za kupanga uzazi za dharura (levonorgestrel, ulipristal). Kwa taarifa zaidi kuhusu dawa za kupanga uzazi za dharura, bonyeza hapa


Sources

[1] WHO. Safe abortion: technical and policy guidance for health systems. Second editionn. 2012. Retreived from: https://apps.who.int/iris/bitstream/handle/10665/70914/?sequence=1

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu