Unaweza kutumia tembe za kutoa mimba ili kuzuia kama mbinu ya kupanga uzazi

Tembe za kutoa mimba (Mifepristone na Misoprostol) ni bora katika kutamatisha mimba lakini haipendekezwi kama, njia bora ya kuzuia mimba siku za usoni. Kuna njia nyingi bora za kupanga uzazi, tembelea www.findmymethod.org kwa maelezo zaidi.

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.