Naweza kutumia Misoprostol iliyo na Diclofenac

Kuna tembe ambazo zina Misoprostol na Diclofenac, moja inayotokea kuwa dawa inaitwa Oxaprost [1]. Haishauriwi kutumia dawa hii kuavya mimba, hata hivyo vikwazo vinazuia kupita kwa Misoprostol pekee inaweza kutumika, lakini lazima uzingatie yafuatayo: Ikiwa unatumia tembe chini ya ulimi au kwenye mashavu haustahili kumeza mabaki ya tembe baada ya kuwa nayo kwa dakika 30 katika mdomo wako Kipande ya tembe kitakachochukuliwa ni Misoprostol na kipande utakachokukitema ni Diclofenac. Ni muhimu kuwa haumezi kile kipande kilicho na Diclofenac ili usizidi kipimo kilichopendekezwa. Ikiwa hautaitema nje, itapekelekea kuwa sumu Diclofenac inapozidi.

[1] Women on Waves. How to do an Abortion with Pills? Retrieved from: https://www.womenonwaves.org/en/page/6104/how-to-do-an-abortion-with-pills

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.