Naweza kutumia tembe za kutoa mimba kupitia uke

Njia bora tu ya kutumia Mifepristone ni kuimeza.
Misoprostol inaweza kutumika vyema kwa njia 3 tofauti: Ingawa kutumia tembe za Misoprostol chini ya ulimi,

Kwa mashavu au ukeni zote ni bora, haipendekezwi uziweke katika uke wako Hii ni kwa sababu Misoprostol inaweza kuacha chembe chembe ambazo zinaweza kuonekana na mhudumu wa afya unapohitaji matibabu.Kutumia Misoprostol chini ya ulimi au kwenye mashavu [1] haiachi chembe chembe za tembe zinazoonekana.

[1] Women on Web. Are there other ways to use the Misoprostol? Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/page/985/are-there-other-ways-to-use-the-misoprostol

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.