Ninaathiriwa na NSAIDs (dawa zisizo na steroid zinazozuia mwili kutumia mbinu za kibaolojia kujikinga) ikimuisha ibuprofen. Naweza kutumia nini mbadala kudhibiti maumivu?

Ikiwa unaathiriwa na NSAIDs (ikijumuisha ibuprofen), dawa mbadala inayopendekezwa kwa maumivu ni tyelenol. Tylenol ipo dukani katika nchi nyingi, tembe 2 (325mg) kila saa 4-6 inapendekezwa kwa kuondoa maumivu.

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.