Naweza kumeza tembe za kutoa mimba?

Njia bora tu ya kutumia Mifepristone ni kuimeza.

Misoprostol haipaswi kumezwa. Misoprostol inapendekezwa kutumika chini ya ulimi (iyeyuke chini ya ulimi kwa dakika 30)

Bonyeza kwa maagizo ya kina kwa matumizi yaliyopendekezwa ya Mifepristone na Misoprostol na  Misoprostol tu

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tovuti hii hutumia kuki. Jifunze zaidi.