Wanawake kwa kawaida hutokwa damu baada ya kutumia dawa za kutoa mimba?

Athari zilizokusudiwa za tembe za kutoa mimba ni kusababisha kutokwa damu ukeni na msokoto [1], hivyo kutamatisha mimba isiyohitajika. Ikiwa hautokwi damu baada ya kumeza tembe za kutoa mimba, kuna uwezekano hazikufanya kazi na uko bado na uja uzito.

[1] Gynuity. Providing medical abortion in low-resource settings An Introductory Guidebook. Second Edition. 2009. Retrieved from: https://gynuity.org/assets/resources/clinguide_maguide2nd_edition_en.pdf

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.