Je kama nitatokwa damu zaidi baada ya kutumia tembe za kutoaa mimba?

Kutokwa damu ukeni [1] ni kawaida kwa tembe za kutoa mimba, lakini inashauriwa kuangalia kutokwa damu kwako. Ikiwa utaloa visodo viwili vya kawaida kwa kila saa kwa saa 2 mfululizo (yaani visodo 4 kwa saa 2) baada ya kufikiri umepitisha uja uzito, hii inaangaziwa kama kuvuja damu zaidi, na unastahili kutafuta usaidizi wa kimatibabu.

[1] Gynuity. Providing medical abortion in low-resource settings An Introductory Guidebook. Second Edition. 2009. Retrieved from: https://gynuity.org/assets/resources/clinguide_maguide2nd_edition_en.pdf

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.