Naweza kuwa na uwezo wa kupata uja uzito baada ya utoaji mimba?

Uwezo wako wa kuwa na uja uzito unaweza kurudi haraka sana baada ya utoaji mimba, wakati mwingine haraka hata kwa siku 8 [1]. Ikiwa unataka kuwa na uja uzito siku za usoni, utoaji mimba haustahili kuzuia hii. Ikiwa unataka kuzuia mimba kuna njia nyingi za kupanga uzazi Tafadhali tazama www.findmymethod.org kwa maelezo zaidi.


Sources

[1] Women on Web. When can you get pregnant again after having a abortion with pills? Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/page/1279/when-can-you-get-pregnant-again-after-having-a-abortion-with-pills

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu