Naweza kuwa na uwezo wa kupata uja uzito baada ya utoaji mimba?

Uwezo wako wa kuwa na uja uzito unaweza kurudi haraka sana baada ya utoaji mimba, wakati mwingine haraka hata kwa siku 8 [1]. Ikiwa unataka kuwa na uja uzito siku za usoni, utoaji mimba haustahili kuzuia hii. Ikiwa unataka kuzuia mimba kuna njia nyingi za kupanga uzazi Tafadhali tazama www.findmymethod.org kwa maelezo zaidi.

[1] Women on Web. When can you get pregnant again after having a abortion with pills? Retrieved from: https://www.womenonweb.org/en/page/1279/when-can-you-get-pregnant-again-after-having-a-abortion-with-pills

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.