Nini kitafanyika ikiwa bado nina uja uzito baada ya kutumia tembe za kutoa mimba?

Ikiwa tembe za kutoa mimba hazikutamatisha uja uzito wako, unaweza kujaribu tena au uwe na utoaji mimba kwa upasuaji ikiwa huduma hii inapatikana mahali unapoishi. Ili kutumia tembe za kutoa mimba tena inapendekezwa usubiri saa 72 tangu wakati wa mwisho ulipozitumia.

Wasiliana nasi ikiwa una maswali kuhusu jinsi ya kutumia tembe za kuavya mimba.

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.