Mna nambari ya simu au whatsapp?

Kwa bahati mbaya, hatuna nambari ya simu, wala WhatsApp. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia kwa barua pepe katika info@safe2choose.org na mazungumzo ya moja kwa moja katika tovuti. Tunahakikisha kuwa nyenzo hizi ni siri na salama kwako kuwasiliana nasi.

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.