Ukubwa wa maandishi
safe2choose

Pata ushauri kuhusu utoaji mimba kupitia barua pepe.

Illustrated woman in glasses and pink cardigan typing on a laptop, with speech bubbles

Tuko hapa kukupa msaada!

Tafadhali tumia fomu hii kutueleza jinsi tunavyoweza kukusaidia. Unaweza kushiriki nasi maswali yako, mambo yanayokutia wasiwasi, au mambo ambayo ungependa kupata taarifa au msaada kuyahusu.

Ili kukupa msaada unaofaa zaidi, tutakuuliza maswali machache kuhusu hali yako. Taarifa utakazoshiriki nasi ni za siri na zitatumika tu kushughulikia ombi lako la msaada.

Tafadhali shiriki taarifa nyingi kadiri unavyojisikia huru kufanya hivyo.

Wasiliana na timu yetu ya washauri

Hedhi yako ya mwisho ilianza lini? *
Je, umethibitisha ujauzito wako kwa kupima? *
Je, una hali yoyote ya kiafya, ulemavu, au mahitaji mengine ya kiafya ambayo ungependa tuyafahamu? Taarifa hizi zitatusaidia kukupa msaada unaofaa zaidi kwa mahitaji yako. *
Ushauri kuhusu Utoaji Mimba kwa Barua Pepe | safe2choose