Kanada umri wa miaka 26

Canada

Age: | Juni 23, 2016
Anonymous

Ushuhuda, Kanada umri wa miaka 26

Nilipokuwa na wasiwasi kuhusu mimba ambayo sikuwa nimetarajia niliomba msaada kutoka kwa safe2choose. Walinipa taarifa madhubuti wakati wowote ambao niliihitaji- walinishughulikia daima, walinipa maelekezo, jambo ambalo lilinipa amani. Nilitumia seti ya pili ya vidonge (misoprostol) na ndani ya dakika 30 ilianza kutendeka. Nilikuwa nyumbani na sikuwa na wasiwasi na huku kulinisaidia sana. Ninapendekeza tovuti hii kwa mtu yeyote!

  • Share your story!

    Share your testimonial with safe2choose! It'll take only a few minutes of your time.

  • Share your story: Upload your story in any of the following format (video, photo, voice recording):

  • safe2choose will not publish stories that are offensive in any way, nor that contradict the safe2choose medical abortion protocols which are based off international medical organizations and our medical team.

  • Sehemu hii ni kwa madhumuni ya uthibitishaji na inapaswa kuachwa bila kubadilishwa.