Brazil umri wa miaka 26

Brazil

Age: | Machi 4, 2016
Anonymous

Ushuhuda, Brazil umri wa miaka 26

Niliyoshuhudia yalikuwa mazuri. Nilikuwa ninaogopa sana na nilikuwa tayari kufanya lolote kutokana na kukata tamaa na wafanyakazi wa safe2choose kwa kweli walinielewa na kunisaidia. Niliuliza maswali kupitia barua pepe na walinijibu haraka. Niliona ni vyema kuendelea na mchakato huo. Nilituma malipo na chini ya wiki moja nilipokea furushi. Nilifanya utaratibu na kila kitu kilikuwa shwari. Ikiwa ninaweza kumshauri yeyote kuhusu maumivu, ndicho hiki kidokezi: usiyashughulikie pekee yako, unaweza kuhitaji usaidizi kwa saa chache. Niliyashughulikia mimi mwenyewe na ilikuwa shwari. Lakini ikiwa kuna unayeweza kumtegemea, wawili ni bora. Asante sana safe2choose kwa kutushughulikia. Ninashukuru sana kujua kwamba hatuko pekee yetu. Nitawapendekeza na nishiriki kwamba tunaweza kuwaamini. Asante!

  • Share your story!

    Share your testimonial with safe2choose! It'll take only a few minutes of your time.

  • Share your story: Upload your story in any of the following format (video, photo, voice recording):

  • safe2choose will not publish stories that are offensive in any way, nor that contradict the safe2choose medical abortion protocols which are based off international medical organizations and our medical team.

  • Sehemu hii ni kwa madhumuni ya uthibitishaji na inapaswa kuachwa bila kubadilishwa.