Ushuhuda, Australia, umri wa miaka 42

Sijawahi kushughulikiwa na watu wanaojali, wanaoelewa na wanaosaidia katika maisha yangu yote. Ninapendekeza huduma hii kwa yeyote aliye katika hali hii ngumu. Nilikuwa na shaka kuhusu kuagiza mtandaoni lakini safe2choose ilinirahisishia shughuli hiyo. Nilikaa nyumbani na rafiki aliyenisaidia. Maumivu yalikuwa makali sana lakini taarifa niliyopewa kuhusu vidonge ilinijulisha vya kutarajia na kunipa machaguo ya kushughulikia yote. Ninamshauri yeyote anayetumia mbinu hii asome taarifa ambayo safe2choose inakupa, inasaidia sana.

  • Share your story!

    Share your testimonial with safe2choose! It'll take only a few minutes of your time.

  • Share your story: Upload your story in any of the following format (video, photo, voice recording):

  • safe2choose will not publish stories that are offensive in any way, nor that contradict the safe2choose medical abortion protocols which are based off international medical organizations and our medical team.

  • Sehemu hii ni kwa madhumuni ya uthibitishaji na inapaswa kuachwa bila kubadilishwa.