Ukubwa wa maandishi
safe2choose

Wasiliana nasi

Three safe2choose counselors connected by colorful lines and icons. One gestures with hands on chest, another works on a laptop; a caring and tech-savvy vibe.

Hapa safe2choose, tumejikita katika kutoa taarifa sahihi, huduma ya huruma, na kuunga mkono maamuzi ya uzazi. Iwe unahitaji ushauri nasaha, nyenzo, au unataka kushirikiana nasi, tupo karibu nawe - tutumie ujumbe!

Njia za Kupata Msaada wa Ushauri

Kwa taarifa za kina kuhusu ushauri wa utoaji mimba, tembelea Ukurasa wetu wa Ushauri.

Tafadhali soma Sheria na Masharti yetu pamoja na Sera ya Faragha kabla ya kuwasiliana na timu yetu.

Zungumza sasa

Unaweza kupata msaada binafsi kupitia mazungumzo yetu ya moja kwa moja. Washauri wetu wenye mafunzo wanaweza kujibu maswali yako katika mazingira ya siri na yasiyo na hukumu.

*Ikiwa unapata shida kufungua kisanduku cha mazungumzo kilicho chini kulia mwa kiambaza chako, tafadhali jaribu kivinjari kingine (Chrome, Opera, Mozilla, Explorer).

Tuma barua pepe kwa washauri wetu

Je, unapenda kuandika? Tuma barua pepe kwa info@safe2choose.org na mmoja wa washauri wetu atakujibu ndani ya saa 24. Tunaheshimu faragha yako na tutahifadhi mawasiliano yote kwa usiri.

Zungumza na roboti wetu

Ikiwa unahitaji msaada nje ya saa za ofisi zetu, usijali! Roboti wetu wa mazungumzo anapatikana saa 24 kila siku kujibu maswali ya msingi, kukuongoza kwenye nyenzo muhimu kwenye tovuti yetu na kukuunganisha na mshauri pindi inapohitajika.

Itifaki zetu za utoaji mimba

Unaweza kuchunguza taarifa kuhusu utoaji mimba kwenye tovuti yetu kwa mwendo wako mwenyewe. Tunatoa itifaki zilizo wazi na rahisi kufuatwa kuhusu utoaji mimba kwa kutumia tembe na kwa njia ya kunyonya. Pia, utapata mwongozo kuhusu jinsi na wapi pa kupata huduma ya utoaji mimba salama. Tunaheshimu maamuzi yako na tupo hapa kukuunga mkono katika kila hatua.

Wasiliana Nasi Kuhusu Maswali au Wasiwasi wa Faragha

Ikiwa una maswali, wasiwasi, au maombi maalum kuhusu faragha yako au jinsi tunavyo simamia taarifa zako binafsi, tafadhali wasiliana nasi.

Tutumie barua pepe kupitia privacy@safe2choose.org. Ili kulinda faragha yako, tutathibitisha utambulisho wako kwa kutumia anwani ya barua pepe iliyohusishwa na akaunti yako kabla ya kushughulikia maombi yoyote. Kwa taarifa zaidi, tafadhali pitia Sera yetu ya Faragha.

Illustration of a thoughtful safe2choose counselor in a pink sweater discussing online security. A speech bubble shows a padlock and shield, symbolizing privacy protection.

Shirikiana Nasi

Jiunge na safe2choose na kuwa sehemu ya Mtandao wetu wa Kimataifa wa Watoa Huduma za Utoaji Mimba, tukifanya kazi ya kuongeza upatikanaji wa afya ya uzazi na haki za kijinsia kwa wote.

Kwa ubia na ushirikiano wa rufaa, au kuchunguza Mafunzo yetu ya Washauri wa Utoaji Mimba:

Wasiliana moja kwa moja na timu yetu ya ushirikiano kupitia partnerships@safe2choose.org.

Tembelea Ukurasa wetu wa Ubia na Kozi ya Mafunzo ya Mtandaoni ya Utoaji Mimba kwa watoa huduma.

Five diverse hands stacked together, symbolizing unity and teamwork. The background is light blue with a wavy border, conveying collaboration and support.

Tufuate kwenye Mitandao ya Kijamii kupata Taarifa Mpya

Tupo hapa kukusaidia kupitia majukwaa mbalimbali. Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ili upate taarifa, nyenzo, na msaada.

Facebook Icon
Instagram Icon
YouTube Icon
Vimeo Icon
TikTok Icon
A woman with long hair holds a smartphone, wearing a floral top and jeans. Social media icons surround her, suggesting connectivity and engagement.