safe2choose inapatikana wapi?

Hatuna eneo maalum ya ofisi. Tuna timu ya kimataifa iliyo katika pande tofauti za duniani, lakini shughuli zetu zinaendeshwa zaidi katika mtandao. Tunatumia teknolojia kuwafikia wanawake wengi iwezekanavyo.

TAZAMA MASWALI ZAIDI

*Hakuna kinachotolewa hapa kinapaswa kudhaniwa kuwa ushauri wa kitaalam na hakuna dawa / tembe zinazopaswa kutumiwa bila agizo kutoka kwa mtaalamu aliye na leseni / aliye sajiliwa anayestahili kuagiza dawa hiyo katika mamlaka yako ya karibu.