Kazi

safe2choose inakua na kupanuka, kwa hiyo tunahitaji werevu zaidi na wenye ujuzi kutusaidia kukamilisha kazi yetu – kuunganisha wanawake ulimwenguni kote kuwa na taarifa sahihi na ya kibinafsi juu utoaji mimba kwa njia salama, ili waweze kutoa mimba kwa njia salama mahali ambapo wanaridhika, lini na pamoja na watu ambao wanahisi sawa nao.

Majukumu yetu:

Tunatoa maelezo kulingana na ushahidi wa kisasa wa kisayansi kuhusu kutoa mimba kwa njia salama.
Tunatoa ushauri wa bure ambao ni salama, wenye usiri na mwafaka, usio na hukumu na unyanyapaa
Tunajitahidi kukuelekeza kwa mashirika yanayoaminika na yanayotokana na uchaguzi wako inapohitajika
Sisi ni rahisi kufikia, tuna urafiki mwema na wasidizi wema.
Tunaheshimu haki yako ya kufanya uamuzi mwenyewe kuhusu afya na maisha yako.

Tafuta kazi zetu za sasa hapa:

Hakuna chochote kwako?

Kila wakati tunakaribisha maombi ya hiari kwa nafasi ya kulipwa au ya kujitolea.
Tutumie barua pepe kwa recruitment@safe2choose.org