Wasiliana nasi

Tafadhali tuma barua pepe kwa info@safe2choose.org, na washauri wetu watajibu maswali yako haraka iwezekanavyo. Kwa sasa, unaweza pia kuangalia FAQs zetu ili kupata habari zaidi ya uavyaji salama wa mimba kwa kutumia tembe.
Tunaheshimu uamuzi wako na tutakuunga mkono katika chaguzi zozote ambazo unafanya.

.

ilisasishwa mwisho 16/12/2019

Tuko hapa kukuunga mkono Kwa chaguo lako la kuavya mimba wakati wa COVID-19

Tunafuatilia Kwa makini ueneaji wa virusi vya Corona kimataifa na tutaendelea kusasisha habari na huduma zetu.

Tunawashauri wasomaji wetu:

  1. Kusoma chapisho letu la hivi karibuni la blogi juu ya uavyaji wa mimba na COVID-19
  2. Kufuata miongozo ya usalama wa Shirika la Afya Duniani kuhusu COVID-19
  3. Kuwasiliana na washauri wetu